Mapenzi yao ni wazi sasa hivi na headline zao ni za kutosha kwenye mitandao ya kijamii,ambayo nyingine mpya ni hii ya wawili hawa kwenda Zanzibar kufurahia weekend ya Valentine.
Diamond aliandika kuhusu zari:-Alisema hajawahi kufika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yet"
No comments:
Post a Comment