Mwaka jana (2014),Shetta aliahidi kuwa single yake itakayofata itakuwa ni collabo na na rapa wa Nigeria,ahadi ambayo inaonekana tayari imetimia.
Kwa mujibu wa picha alizoshare rapa Kcee wa Nigeria akiwa na Shetta nchini Afrika Kusini,inathibitisha Kuwa collabo hiyo iliyopewa jina la 'SHIKOROBO' sasa hiko katika hatua za uchuaji wa video.
Kipitia Instagram hit maker wa LIMPOPO Kcee alishare picha aliypiga na Shetta,na kuandika
"Work mod: on set with my bro @shettatz no time"
" chilling with my nigga #baddest boy from Tanzania @shettatz # jozlife...,#GOODBOYFRIEND"
No comments:
Post a Comment