Klabu ya Liverpool jana ilibuka na ushindi wa 2 kwa 0 dhidi ya timu ya Southampton, hivyo ikifanya Kuwa nafasi ya 6,ikiwa na pointi 45, nyuma ya pointi mbili dhidi ya Man Utd iliyofungwa juzi na Swansea City.
MSIMAMO WA LIGI KUU UINGEREZA
Pos. Club. P. GD. Pts
1. Chelsea. 26. 31. 60
2. Man city. 26. 31. 55
3. Arsenal. 26. 20. 48
4. Man utd. 26. 18. 47
5. Southampton. 26. 19. 46
6. Liverpool. 26. 9. 45
7. Spurs. 26. 5. 44
8. Westham. 26. 8. 39
9. Swansea 26 -4. 37
10. Stoke. 26. -4. 36
11. Newcastle. 26. -11. 32
12. Everton. 26. -4 28
13. C.palace. 26. -9. 27
14. Westbrom. 26. -10. 27
15. Hull. 26. -10. 26
16. Sunderland. 26. -14. 25
17. QPR. 26. -18. 22
18. Burnley. 26. -19. 22
19. Astonvilla. 26. -23. 22
20. Leicester. 26. -18. 18
Je MAN UTD itaweza kuingua top 4? Huku wakiwa wamesajili mastaa na kutumia kiasi kikubwa cha feza mwanzoni mwa msimu .
Mechi 12 zimebaki mpaka ligi kuu UINGEREZA kuisha.Huku msimu huu CHELSEA haijawahi shushwa kileleni toka ligi hiyo kuanza.
No comments:
Post a Comment