Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Wednesday, February 25, 2015

SHILOLE ATAJA CHANZO CHA MIGOGORO NA NUH MZIWANDA.

Mwanamziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohammad 'Shilole' ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa,Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.

Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana,lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganushi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wanalengo wana lengo la kuwatenganisha. Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo hivi sasa ameamua kuowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili kupubguza migogori ya mara kwa mara baina yao.

Alisema wale walio karibu yao ndio  wanaochangia kwa kasi kikubwa kutokea kwa migogori kwenye mahusiano yao,ukizingatiwa hivi sasa wapo kwenye harakati za kufunga ndoa baada ya wazazi wa pande zote kukubali uhusiano wao.

"Tumegundua kuwa mashoga ndio wanaotugombanidha,kwani kila mara mchumba wangu anapewa taarifa zinazonihusu mimi huku hao hao wananiletea habari zake,jambo chili limesababisha nisiihitaji tena marafiki wengi wao ni wanafiki" alisema.

No comments:

Post a Comment