Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Tuesday, February 24, 2015

BREAKING NEWS: KITUO CHA POLISI CHA ILULA MKOANI IRINGA CHA CHOMWA MOTO BAADA YA ASKARI POLISI KUMUUA MAMA N'TILIE.

Majira ya saa 11 Leo  jioni kituo cha polisi cha Ilula kilichopo mkoani Iringa kimechomwa moto na wananchi wenye hasira Kali baada Askari polisi kumuua mmoja wa mama n'tilie. Leo mkoani Iringa polisi  walikuwa wanafanya doria dhidi ya wafanya biashara ya mama n'tilie.

Chanzo cha kifo cha huyo mama,inasemekana Polisi alimpiga mtama mama huyo na na kumpelekea umauti,wakati akiwa anawakimbia Polisi.

Taarifa zaid zitakujia na wanahabari wa wakereketwa hivi punde.

No comments:

Post a Comment