Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Friday, February 20, 2015

MUIMBAJI WA CHAMBER SQUAD MEZ B AFARIKI DUNIA.

Muimbaji wa kundi la Chamber Squad,Mzee B,amefariki leo saa nne asubuhi,kwa mujibu wa mtu aliyekuwa akimuuguza.

Msanii huyo aliyewahi kufanya vyema na wimbo wake,' FIKIRIA' alikuwa amelazwa katika hospitali ya Dodoma.

Mez B aliyezaliwa kwa jina la Moses Bushaga alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa Pneumonia.

Hivi karibuni aliongea na E-news ya EATV  alikuwa vyema

"Nilikuwa na tatizo la Pneumonia to kea mwezi wa 12 nikawa nipo vzuri nilivyokuja tena Dodoma halo ikabadilika ndo nipo hospitali nimelazwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa na shingo" alisema

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.

No comments:

Post a Comment