Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Friday, February 20, 2015

WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA GHANA WAZAWADIWA MAGARI AINA YA "2015 JEEP GRAND CHEROKEE"

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Ghana,Black Stars wamezawadiwa magari mapya aina ya 2015 Jeep Grand Cherokee.

Magari hayo 30 yametolewa na kampuni Tannik Ghana ambayo ni wasambazaji wakuu wa Jeep nchini humo kama zawadi kwa kufanikiwa kuingia fainali kwenye kombe la 2015 ambayo  Ivory Coast ilichukua ubingwa.

CEO wa kampuni hiyo,Roger Klogo alidai kuwa serikali haijahusika kununua magari hayo.

Gari moja inauzwa kwa $76000 ambapo magari 30 yamegharimu $2,280,000.

Pamoja na Grand Cherokee,kila mchezaji alipewa kitita cha $25,000 na shirika la taifa la mafuta la nchi hiyo ( GNPC )

No comments:

Post a Comment