Davido ameweka wazi kuwa mwaka huu hatafanya collabo na msanii yeyote awe anayechipukia au A-list.
Meneja wa staa huyo Kamal Ajiboye,amesema kuwa Davido amekuwa akipokea maombi mengi ya wasanii wakubwa wadogo wakitaka kufanya naye collabo to kea mwaka huu umeanza na zote amezikataa.
Kamal ameongeza kuwa Davido hataki kufanya collabo yoyote ili kuweka nguvu katika album yake mpya inayotarajiwa kutoka mwezi July,2015.
"The truth it does not take much to feature Davido on any song,but he's seriously working on his album and he has made every member of the team to understand why he won't be welcoming any collaboration for now" Jamal aliiambia Tribune.
No comments:
Post a Comment