Christian Ronaldo usiku wa kuamkia leo afuta uteja wa ukame wa magori,baada ya kucheza mechi nne bila ata gori.
Mshambuliaji huyo was Real Madrid jana aliifungia klabu yake gori la kichwa mnamo wa dakika ya 25 za mchezo.Na beki wa kushoto was Real Madrid Marcelo alifunga jana gori la juhudi binafsi katika kipindi cha pili za mchezo (dk78).Hivyo kuifanya Real Madrid kushinda 2 kwa 0 dhidi ya Schakle 04.
Gori la Cristian Ronaldo ni la 58 akiwa na klabu yake ya Real Madrid,na jana hiyo hiyo ilikuwa ni mechi ya 58 kuichezea klabu yake hiyo kwenye ligi ya mabingwa ulaya.
Kikosi cha Real Madrid:-cassilas,Carvajal/Arbeola dk81,varane,Pepe,Marcello, Kroos,Disco/Illarramend dk84,Bale,Benzema/chicharito dk78,Ronaldo.
Kikosi cha Schalke04:-
Wellenreuther,uchida,Matip,Nastasic,Howedes,Neustadter,Aogo,Moting na Hunteller.
Pia Jana kuna mchezo mwingne ulichezwa wa UEFA ni baina ya BASLE VS PORTO, timu hizo zilitoka sare za kufungana bao moja.
Basle walikuwa wa kwanza kufunga gori kupitia Gonzalez chipukizi was Paraguay mnamo was dakika ya 11 za mchezo.Porto walisawazisha gori hilo kupitia Danilo kwa mkwaju wa penati baada mlinzi wa Basle kuunawa mkono ndani ya boksi.
No comments:
Post a Comment