Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Thursday, February 26, 2015

FILAMU ZA KIBONGO ZA ZIDI KUPASUA ANGA ZA KIMATAIFA:SOMA HII.

Filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies zimezidi kuvuka mipaka na kupata fursa ya kuonekana zaidi duniani.Hii ni kutokana na hiki ambacho Blogger maarufu Jestina George mtanzania aneishi ughaibuni kushea nasi kile alichokutana nacho kwenye ndege.

"I was very happy hivi karibuni wakati nasafiri ndani ya Emirates kukutana na hii Bongo Movie... MkeMchafu humo ndani ninayemjua ni Johari Chagula pekee yake. But lengo lakuleta hapa ni kuwapongeza sana maana ni hatua nzuri and I hope tutaendelea kujutana na muvi zingine pamoja na miziki yetu pia kwenye mashirika mengine ya ndege. Kwani wao waweze sie tushindwe tuna nini"- Jestina-george.com aliandika mtandaoni na kuwatag baadhi ya bongo movies.

Hizi ni dalili nzuri,wasanii endeleeni kukaza buti,wadau tuendelee kuwasapoti kwa kupenda vya kwetu.

No comments:

Post a Comment