Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Saturday, February 28, 2015

TID AUPONDA VIBAYA WIMBO MPYA WA ALI KIBA CHEKECHA CHEKETUA.

Msanii wa Bongo Top in Dar maarufu kama TID au mnyamaa kupitia akaunti yake ya instagram ameuoponda vibaya wimbo mpya wa Ali Kiba,alioutambulisha Jana kwa jina CHEKECHA CHEKETUA.

Amesema nyimbo hiyo haitodumu ata miezi mitatu kwenye soko la mziki nchini..

Soma hapa:
"This song is not all that but u guys are making it a big sh**t,its gonna last 3 months, #nose singing."

No comments:

Post a Comment