Muziki wa Tanzania upo mahali pazuri kwa sasa. AY,Diamond Platnumz na wasanii wengine wanaiwakilisha vyema nchi yetu kimataifa.
Wasanii hao wamekamata nafasi za kwanza wiki kwenye top ten za chart za muziki wa Afrika katika vituo viwili vikubwa vya runinga.
Diamond Platnumz amekamata nafasi ya kwanza kwenye African Top 10 ya Trace International na wimbo wake wa NTAMPATA WAPI.
Naye AY amekamata nafasi ya kwanza kwenye chart ya Africa Rox countdown ya Soundcity kwa wimbo wa "Touch Me" aliyomshirikisha Sean Kingston na Ms Triniti
Wasanii engine wa Tanzania waliopo kwenye chart hiyo ni pamoja na Navy Kenzo na Shaaa.
No comments:
Post a Comment