Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Monday, February 16, 2015

TAARIFA ZA KIFO NA MAZISHI YA BABA AKE MZAZI MSANII WA BONGO FLEVA DULLYSYKES

Marehemu mzee Abby Sykes ambaye ni baba mzazi wa mwiimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullyskes,alifariki saa 8 mchana February 15/2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Dullyskes ameongea na millardyo.com ikiwa pamoja na kueleza kitu kilichosababisha umauti was baba take,ambapo ameanza kwa kusema
   "Mzee alikuwa ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa,sumu ikasambaa na kusababisha kifo chake,vidonda vikishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara ila zaidi hakuwa na tatizo jingine lolote manake baba yangu alikuwa strong"
   "Alia za kuugua vidonda miezi minne iliyopita ,miezi miwili alikuwa anavumilia tu,miezi miwili ya mwisho ndivyo vilizidi kumsumbua,mazishi tunategemea kufanya 16/2/2015 saa 10 jioni kwenye makaburi ya Kisutu lakini safari ya kwenda msikitini tunaanza 7  mchana- dully

No comments:

Post a Comment