Msanii alietamba kwa muda mrefu na ngoma yake Mwana ,Ali Kiba kesho anatarajia kutoa wimbo yake mpya unaokwenda kwa jina la CHEKECHA,kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuonesha ujio wake mpya wa mashabiki wa Ali Kiba.
Ali kiba aliachia nyimbo zake mbili kimasomaso na Mwana 25/7/2014 baada ya kimya cha mda mrefu baadae kuna nyimbo mbili zilitoka ambazo kwa mujibu wa Ali Kiba alidai kuwa hakuzitoa bali zimevuja.
Je ujio mpya wa Chekecha utakuwa mkali zaid ya Mwana?
No comments:
Post a Comment