Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Wednesday, February 25, 2015

DIAMOND APONDWA KUSAFIRI NA KUNDI KUBWA LA WATU KWENYE SHOW AMA SAFARI ZAKE ZA KISTAREHE.

Blogger mmoja maarufu amemshukia na kumshauri Diamond kuhusu kusafiri na kundi kubwa la watu wasiokuwa na ulazima pale anapoenda kufanya show ama starehe.

Ameandika hivi:-

"Anyways, wewe kama mtanzania unaonaje hizi swagga mpya za Diamona kusafiri au kufatwa nyuma na kundi kubwa watu  wakiwemo mameneja wake,ndugu,mpiga picha etc....
Kwa maoni yangu naona kama mameneja wake kama wanampoteza tu,itakuwa kaambiwa akitaka kuonekana  ni big star lazma awe anafatwa nyuma na kundi kubwa la watu everywhere he goes,,,Nimemuelewa kidogo sababu lambda kaona mastaa wakubwa duniani huwa wanakuaga na entourage kubwa ila jamani they can afford kuwa na watu wote wale..some of them make over 10 million dollars a year sasa kulipa watu wote hao  kumfatafata ni pocket change kwake. Tayari wana utajiri ambao hata wajukuu Zhao watakuja kuukuta,wana majumba in every city wengine mpaka Palm Jumeirah  Dubai wana mavacation home sasa huyu kijana wetu ambae mpaka leo anaishi kwenye nyumba ya kupanga,kwanini analipa watu kumfata fata nyuma hivi? Wakati its very unnecessary"

Je wewe unaonaje kuhusu hili swala?

No comments:

Post a Comment