Mahakama ya Hakimu mkazi wa Mkoa wa Njombe,imemhukumu aliyekuwa mkuu wa kituo cha polisi Ilembula kifungo cha miaka 30 jela,baada ya kukutwa na hatia ya kum aka mtuhumiwa sliyekywa ndani ya mahabusu.
Hukumu hiyo iliyotolewa na Hakim Augustine Rwezile,baada ya mshtakiwa huyo James Nyambenga kukiri kosa hilo mahakamani,ambapo mshitakiwa huyo anadaiwa kumtoa msichana huyo kwenye chumba cha mahabusu alikokuwa anashikiliwa na kumbaka.
Mwanamke huyo ambae ni mhudumu wa bar,alikuwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za uzururaji.
Akisoma hukumu hiyo Hakim Rwezile amesema ushahidi uliptolewa na upandevwa mlalamikaji na vielezo vya daktari aliyempima msichana huyo viliweza kuithibitisha Mahakama kuwa mtuhumiwa alitenda kosa.
No comments:
Post a Comment