Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Tuesday, February 24, 2015

SHILOLE NA MCHUMBA WAKE NUH MZIWANDA WACHAFUA HALI YA HEWA MTANDAONI BAADA YA KUTUPIA PICHA ZA UCHI.

Mwigizaji na mwanamuziki,Zuwena Mohammed"Shilole"ambaye ni mama mwenye watoto wawili wa kike,akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada ya kutupia picha yao wakiwa uchi.

Nuh mziwanda ndio aliobandika picha hiyo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram na baada ya kuona watu wengi wanamshambuliaa aliamua kuibandua.

Wapo walioona kuwa kitendo alichokifanya mziwanda labda ni kutokana na umri wake hivyo hayo ni baadhi ya matokeo ya kuwa na mahusiano na mtu mtoto.

Lakini pia wapo walioona kuwa wawili hawa wanatafuta KIKI tu ili media za hapa Bongo ziwazungumzie kama Zari na Diamond,ila pia wapo ambao wanaona hii iko poa na haina tatizo.


No comments:

Post a Comment