Super Mario Balotelli jana alichukua maamuzi ya kupiga penati huku akiwa amevunja sheria na maagizo ya kocha Brendan Rogers,Captain wa Liverpool ndo mwenye mamlka sasa wakupiga penati katika klabu hiyo.Captain mkongwe Steven Gerald alisema:"Balotelli kamvunjia heshima Jordan"
Kwenye mechi hiyo,Liverpool walishinda gori mmoja bila,gori lilofungwa na Balotelli kwa mkwaju wa penati.
MATOKEO MENGINE YA LIGI YA EUROPA.
LIVEPOOL 1 - 0 BESIKTAS
TOTTENHAM 1-1 FIORENTIA
YOUNG BOYS 1-4 EVERTON
CELTIC 3-3 INTER MILAN
NAPOL 4-0 TRABZONSPOR
No comments:
Post a Comment