Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Tuesday, February 24, 2015

MWANAMKE ANYONGWA HADI KUFA NA MPENZI WAKE USIKU WA MANANE WAKIWA GESTI.

Jeshi la Polisi mkoani Morogori linamshikilia,Erick Bruno (30) kwa tuhuma za kumyonga mpenzi wake,Daja Dungu (35) wakati walipokuea kwenye nyumba ya kulala wageni (jina tunalo) Manispaa ya Morogoro.

Akizungumza kutokea kwa tukio hilo,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Leonard Paul,alisema tukio hill lilitokea  Februari 23,mwaka huu saa 6:30 Asokai katika karakana ya kichangani ya kichangani ambapo mtuhumiwa alikodisha chumba namba nane,akiwa na na mwanamke huyo.

"Februari 23,mwaka huu saa sita na nusu mtuhumiwa alifika kwente nyumba hiyo akiwa aneambatana na mwanamke huyo kwa lengo la kufanya ngono baada ya muda kukasikika kelele za kuomba msaada" alisema Paulo.

Paulo alisema baada ya kelele hizo mlinzi wa nyumba hiyi aliwaita watu na kumtaka mtuhumiwa afungue mlango,lakini alikataa na kudai hakuna kitu kilichotokea,ndipo juhudi za kufungua mlango zikafanyika na kumjyta mwanamke huyo akiwa amefariki.

Aidha, Paulo alisema Polisi bado haijafanikiwa kupata chanzo cha tukio hilo,na Kuwait upelelezi unafanyika ili mtuhumiwa aweze kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.

Kamanda Paul,alisema mtyhumuwa anashukiliwa na polisi kwa upelelwzi zaidi na mara baafa ya kukamilika atafikishwa mahakamani.

No comments:

Post a Comment