Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Tuesday, February 24, 2015

MESSI AKOSA PENATI,SUAREZ AIPIGIA 2 BARCA IKIIKALISHA MSN CITY;JUVETUNS YASHINDA DHIDI YA DORTMUND.

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi jana katika mechi ya ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Manchester City alijikuta anakosa penati tena kwa mara ya nne msimu huu.

Shujaa wa jana Luis Suarez aliwezesha timu yake ya Barcelona kushinda magori 2 kwa 1 dhidi ya Man city.Suarez alifunga magori hayo kwenye dakika ya 16 na 30 za mchezo,baada kutumia vizuri uzembe wa beki wa Man city Vicent Kompany.

Gori la kufutia machozi LA Man City lilifungwa na Kun Aguero mnamo ws dakika 69 za mchezo.

Man city ilikuwa katika uwanja wa nyumbani,hivyo itahitaji ifanye maajabu kuifunga Barcelona  2 kwa 0  katika mechi ya marudiano Machi 18 jijini Barcelona.

TAKWIMU ZA MCHEZO.
Manchester City:Hart-7, Zabaleta-5, Kompany-4.5, Demichelis-6.5, Clichy-5, Nasri-6, Fernandhno 61dk-6,Milner-6, Fernando-5.5,Silva-6.5,Dzeko-5.5,(Bony 68dk-6,Aguero -6.

Sub ambazo hazikutumika;caballero,Navas,Lampard,Mangala.

Goal.Aguero

Kadi nyekundu.Clichy.

Barcelona: Term Stregen-6, Alves-6.5 (Adriano 75dk),Pique-7,mascherano-6.5,Jord Alaba-6.5, Rakitic 6.5,Busquets 6,Iniesta 6,Messiah 8.5,Suarez-9,Neymar 6.5.

JUVENTUS 2-1 DORTMUND
Magoli ya Juve yalifungwa na Morata na Tevez,

No comments:

Post a Comment