Ile video ya PACHA WANGU ya msanii Rich Mavoko,iliyofanyika South Africa chini ya producer mahiri,mkongwe na mzoefu nchini Adam Juma imempatia dili la kuwa balozi
Rich mavoko alipost picha instagram akiwa anasaini mkataba wa kuwa balozi na shirika la WWF.
WWF ni shirika lisilo la kiserikali linalo jihusisha na utunzaji wa mazingira.Mavoko alisema
Swali.Ilikuwaje wakanichagua kua balozi wao?
Jibu: "waliangalia video ya pacha wangu na jinsi nilivyomtumia chui,wakapenda na kuvutiwa kufanya kazi na mimi. Walipenda kufanya kazi na kijana ili niweze kuwashawishi vijana wenzagu juu ya utunzaji wa mazingira. Rich Mavoko alisema
No comments:
Post a Comment