Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Sunday, February 22, 2015

MBATIA AIKOSOA SERA MPYA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI.ASEMA HUO NI MPANGO WA SERIKALI KUWALAGHAI WANANCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

Mwenyekiti was chama cha NCCR-MAGEUZI,Taifa,JAMES MBATIA (kulia),akionesha  kitabu cha sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 wakati akizungumza katika mkutano na waandishi habari DarvEs Saalam jana,wakati akitoa tamko la chama hicho  juu ya sera hiyo.Kushoto ni Katibu Mkuu was Chama hicho,MOSENE NYAMBABE, na kulia ni Naibu Mkuu,Zanzbar ,Mussa  Kombo Mussa.

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR MAGEUZI TAIFA,James Mbatia anesema kuwa uzinduzi wa Sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 ni mpango wa serikali kuwalaghai wananchi kuelekea uchaguzi mkuu utakao fanyika oktoba mwaka huu.

Pia amesema hali ya elimu nchini ni kama mgonjwa aliyekuwa katika chum a cha wagonjwa mahututi,hivyo serial I isiwe inatoa majibu mepesi kwente masuala magumu ambayo yanagusa maisha ya watanzania.

Akizungumza Dar Es Salaam jana wakati akitoa tamko la chama hicho kuhusu sera hiyo,Mbatia alisema Kuwait mnamo January 31 na February mosi mwaka 2013,aliwasilisha hoja bungeni 6kuhusu udhaifu uliopo katika sekta ya elimu.

Alisema kuwa aliorodhesha athari mbalimbali za udhaifu wa elimu itolewayo nchini lakini suala hilo lilionekana kutawaliwa na siasa ambapo haikuwa lengo  lake,lengo ilikuwa Sera mbalimbali za elimu zinaboreshwa.

Mbatia aliongeza kuwa mnamo Februari 13,2015 mwaka Hui Raisi Jakaya Kikwete,Ali India sera ya Elimu na Mafunzo  ya mwaka 2014 lakini haijakibu hoja alizokuwa amezitoa.

Alifafanua wakati Raisi akihutubia alsema sera hiyo ilutumia miaka saba kukamilika,lakini Mwenyekiti huyo alisema baada ya kupitia alibaini Sera hiyo kuwa na lugha ngumu huku ikiwa na makosa mengi.

Mbatia alisema anachokiona kwa serikalikuzindua Sera hiyo mwaka huu no mikakati ya kuelekea uchahuzi mkuu,kwani yaliyomo ndani ya Sera hiyo imelenga kuwalaghai wapiga kura.

Aisha alisema mambo hayo ni pamoja na kutangaza kuwa elimu ya msingi  kutilewa bure bila karo na lugha iliyotumika inawachanganya wantanzania hivyo ni vigumu kwa wananchi wa vijijini ambao wengi wao hawana elimu kutambua yaliyoandikwa ndani ya sera hiyo.

"Mfano sera mpya ina Matamko mawili ambayo inawachanganya wantanzania kuhusu lugha ya kufundishia,moja inatamka kiswaihili kitatumika kama lugha ya kufundishia ngaz zote za elimu,na ya pili kiingereza kitatumika kama lugha ya kufundushia ngazi zote za elimu.

"Matamko haya mawili,kwanza yanakwepa lawama zinazotokana na malumbano ya muda mrefu kuhusiana na lugha gain inafaa kufundishia ,pili imehalalisha mifumo miwili ya elimu ndani ya nchi moja"alisema Mbatia  kwa msisitizo.

Hivyo alisema serikali ilipaswa kutengenexa Sera ambayo inazungumza kwa uhakika kuhusu suala la lugha ya kufundishia,kuliko kutoa tamko la sera lisilo na msimamo.

Aliweka wazi Kuwait wanapebdejeza iundwe tume ya kudumu ya elimu nchini itakayoshughulikia pamoja name mambo engine kuhakikishs ubora wa elimu unapatikana nchini.

Vilevile alisema wanaiomba serikali kupitia upya sera hiyoksnla haojaanza kutumika ili kuepusha taifa na madhara ambayk yameonesha dalili za kutokea hata kabla haijaanza kutumika.

No comments:

Post a Comment