Jana Liverpool ilijikuta ikitolewa katika michuano hiyo ya ulaya maarufu kama EUROPA kwa njia ya mikwaju ya penati baada mechi kumalizika kwa Liverpool kufungwa mmoja bila. Kwa matokeo hayo ikafanya kuwa ni Besktas 1 vs 1 Liverpool,kutokana na Liverpool kushinda gori moja mechi iliyopita.
Liverpool walipata penati 4 wakati Besktas wakipata zote 5. Kwa matokeo hayo Liverpool imeondolewa kwenye mashindano.
MATOKEO ZA MECHI ZINGINE.
FORENTINA 2- 0 TOTTENHAM (3-1)
INTER 1- 0 CELTIC aggregate (4-3)
Everton 3- 1 YOUNG BOYS (7-2)
FEYENOORD 1- 2 ROMA
NAPOLI 1-0. TRABZNSPOR
SPORTING. 0-0 WOLFSBURG
GLADBACH 2- 4 SEVILLA
No comments:
Post a Comment