Kitendo cha Ray C kumshauri Diamond amuoe Zari the Boss Lady kupitia mtandao wa instagram watu mbalimbali ambao ni mashabiki wa Wema walianza mtukana Ray C kwa vijimaneno vya hapa na pale kitu ambacho Ray C hakukipenda na kuamua kuwashukia na kuwapa soma ifuatayo:
"Waende zao wasituletee shobo hapa Team Ushuzi Team Njegere,I don't give Fuc.kin care! Mi mwenyewe nimetoka lutindi! wanajifanya vichaa simu zetu vidole vyetu vocha tunanunua wenyewe halafu tuogope kucomment kwa msanii mwenzetu eti kisa wao hawapendi kwani waneninulia simu au siwezi nyimwa Uhuru wa simu yangu kwa sababu ya wajinga wasiosoma! Mtu mwenyewe kukaa insta Massa 24 huyo hana kazi! Wafanya insta kama kariakoo...Mnaojifanta mnahua kutujana wejeni sura zenu tuwaone.......Ray C_
In three words I can sum up everything, I've learned about life:it goes on.
No comments:
Post a Comment