Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Friday, February 20, 2015

VIDEO MPYA YA TUNDA MAN KUTENGENEZWA DUBAI

Tunda Man anatarajia kwenda Muscat,Oman au Dubai kwenda kushoot video ya wimbo wake "Achana na mimi'

Akizungumza na Bongo 5 hivi karibuni,Tunda alisema ameamya kwenda Dubai kutokana na aina ya mazingira ambayo video yake inayahitaji.

"Nimepokea maoni ya video ya Achana na Mimi kwahiyo nawa-promise kwamba nitafanya kwasababu nataka nikafanye Muscat au Dubai kwahiyo nilikuwa naangalia process za kwenda kule zinakuwaje" amesema Tunda.

"Ndo mchakato ambao ninao sasa hivi nataka niushughulikie sasa hivi ili ikiwezekana mpaka mwezi wa tatu kazi iwe imeshatoka .Nimeamua kwenda kufanya Dubai kwasababu wimbo wenyewe unahitaji mandhari ya nchi za kiarabu hata ukiangalia beat ipo kama kiarabu fulani hivi"ameongeza.

Tunda amedai kuwa bajeti ya kukamilisha video hiyo inahitaji kama 14 millioni.

Katika hatua nyingine Tundra Man ameshare picha ambazo hajaeleza ni za nini japo zina dalili kuwa ni video.

No comments:

Post a Comment