Picha ya mpenzi wa staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz,Sari aliyoipost kwenye akaunti yake ya instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku engine wanasema kuwa hakupaswa kuweka picha ile na kwamba amejianika hana maadili.
Haya ni baadhi ya maini ya mashabiki wakizungumzia picha hiyo.
faridahfakhi: Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu .
No comments:
Post a Comment