Mapenzi moto moto ya mwanamuziki Diamond kwa Mpenzi wake mpya bado yanaendelea ku make headlines baada kumnunulia Pete na cheni ya mkononi Zari,kama picha inavuonesha hapo zote ni dhahabu pure ila gharama zake hatukuweza kuzijua kwa haraka.
Zari ameweka picha hiyo na kuandika Hays
"Woke up to some 24 carat eish. Thank you Boo,Xoxo...#queenTingz..
No comments:
Post a Comment