Mtangazaji maarufu wa Runninga Maimartha Jesse hivi karibuni aliamua kumtolea uvivu,Lulu Semagongo 'Aunty Lulu' kwa kumpiga kitchen party ya nguvu.
Akichonga na centre spread,Mai alisema Kuwa anachoumia ni kwamba kila mtu mjini hapa anamsema Lulu vibaya wakati yeye alikuwa rafiki yake wa karibu.
"Kama atalia na alie,kama atacheka na acheke lakini nimeshachoka na mambo yake kwa sababu yeye ni uzima kichwa,anasumbua vichwa vya watu kwa matendo yake" alisema Mai.
Aidha, Mai alisema anamsema lulu kama mdogo wake na mtu aliyemfanya akapata Jina mjini hapa kuwa aache Tabia ya kulala gesti na kuwa karibu na wanaume wasio riziki.
No comments:
Post a Comment