Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Popular Posts

Search This Blog

Popular Posts

Popular Posts

Wednesday, February 25, 2015

DEMU KUTOKA KENYA TIARA ANAYEMTAKA KIMAPENZI DIAMOND AINGIZWA MKENGE NA DIAMOND PLATNUMZ

Demu wa Kenya anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia zake na kuntumia video na picha za mitego Diamond kwa kupitia WAKEREKETWA  ametuhabalisha Kuwa baada ya video na picha kusambaa akitafutwa na Diamond platinumz na kuanza kuchati nae na kutumiana picha mbalimbali  na alifikia mahala akasema anamtumia Ticket za kuja Dar wafanye yao pamoja na collabo ya Mziki..Lakini mpaka leo Tickets hazijatumwa..sasa baada ya tickets kutotumwa na Diamond kukaa kimya ilibidi aanza kufanya uchunguzi kuhusu huyo Diamond na mwisho kugundua anachati Diamond Fake..anatumia jina Diamond kwenye Facebook anajiita: DIAMOND WASAFI PLATNUMZZ

Hizo hapo chini ni baadhi ya meseji walizokuwa wanachat kabla ya kugundua sio Diamond wa ukweli.

TIARA amesema bado hajakata tamaa anasema Diamond kama anasoma habari hii soon atakuja Tanzania yeye mwenyewe kukutafuta Face to Face mpaka kieleweke.

Katika hatua nyingine TIARA  amesema mwezi ujao ataachia single yake mpya itakayoitwa KUPARTY.

UNAMSHAURI NINI TIARA?

No comments:

Post a Comment