Page moja huko instagram inayojiita Wemaselfies wamemlipua Zari kwa kusema anarudia nguo moja kila wakati katika mitoko tofauti.. Jisomee hapa
"Hivi hiyi tyt hayibadilishwi? Khaa jaman sasa Bosslady gani anavaa the same thing kila siku? Wewe mama uliingiana gia ya 5 sasa utatoka without no gia hivi nyiye Domo mnamuelewe kweli?
Mie mnisaidie nikwanini akiwa na mwanamke lazima huo mwanamkr ajisahau Sari stop your stupidity ndkuona unavyo comment kwa lemapumbuz ww jobless don't try os ooh a beg and nyie team Zari soon mtaanza kampeni bring back zari if not ooohhoo mamkubwa kapotea yaani Zari Kwisha no big big money no job no nothing ww acha kufatilia team wema plzzz ooh. May Allah bless my @wemasepetu katika kila kitu anachofanya asante mungu kuona kakuamsha mapema kwenye usingizi najua wengine hivi walipo wanapanga tufanye mini ili tumuharibie wema but nothing to worry mungu yuko na ww @wemaseptu wangu we love u and wish u all the best "
No comments:
Post a Comment