Wewe ni mwanaume? Unakabiliwa na tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume? Unaishi jijini Dar is salaaam? Unahitaji kupata tiba asilia na ya uhakika kwa ajili ya tatizo lako?
KAMA JIBU NI NDIO,basi hii ni habari njema sana kwako.Neema Herbalis & Nutritional Food Clinic ni kituo cha ushauri na tiba asilia.
Tunayo furaha kukutangazia kuwa,tumeanzisha kliniki maalumu kwa wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume pamoja na matatizo mengine yanayo wahusu wanaume kama vile la low sperm count,tatizo la ngiri na tatizo la chango la kiume.
KLINIKI YA NGUVU ZA KIUME NI NINI?
Kliniki ya nguvu za kiume ni mradi ulioanzishwa kwa dhumuni la kupambana na tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume nchini Tanzania.
Mradi huu unaratibiwa na kusimamiwa na kituo cha tiba asilia cha Neema Herbalist & Nutritional Food Clinic cha jijini Dar es Salaam Tanzania.
DHUMUNI LA MRADI HUU
Dhumuni la mradi huu ni kupambana na tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume kwa ajili ya tiba asilia na vyakula lishe.
LENGO LA MRADI HUU:
Lengo la mradi huu ni kutokomeza kabisa tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume.
WALENGWA WA MRADI HUU.
Walengwa wa mradi huu ni wanaume wote wanao kabiliwa na tatizo la ukosefu la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume pamoja na matatizo mengine yanayohusu wanaume.
MAMBO YANAYOFANYIKA KWENYE KLINIKI HII NI:-
i/ Kutoa ushauri kuhusu suala zima la nguvu za kiume.
ii/ Kutoa Tina asilia ya tatizo la nguvu za kiume,pamoja na matatizo mengine yanayohusu wanaume.
KUHUSU TIBA INAYOTOLEWA NDANI YA KLINIKI HII:
Tuba inayotolewa katika mradi huu ni ( JIKO DISH ) LISHE MAALUMU YA NGUVU ZA KIUME ambayo inajumuisha:-
1. Dawa asilia ya nguvu za kiume.
2. Dawa asilia kwa watu wenye tatizo la low sperm count.
3. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la nguvu za kiume.
4. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la low sperm count..
5. Dawa asilia na lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la ngiri.
6. Dawa asilia na lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la chango ya kiume.
JINSI JIKO DISH INAVYOFANYA KAZI.
Kazi kubwa ya JIKO DISH ni kutibu na kuponyesha kabisa tatizo LA ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume ndani ya siku 30.kwa maelezo zaidi kuhusu chanzo,athari,na dalili za ukosefu name upungufu wa nguvu za kiume tafadhari tembelea
Http//neemaherbalist blogspot.com/2014/04/maajabu ya korodani-za-mbuzi-korodani.HTML
JIKO DISH NI NINI?
JIKO DISH ni tiba lishe maalumu ya nguvu za kiume ambayo inajumuisha .
1. Jiko supu ambayo inapatikana kwa kuchemsha mizizi ya dawa Jiko
2. Supu ya msumari.
3. Supu ya korodani ya mbuzi
4. Korodani ya jogoo
5. Juisi ya Rozera.
6. Beet Root Juice
7. Asali
8. Samli
9. Vitunguu swaumu
10. Michele
11. Korosho
FAIDA ZA KIAFYA ZA JIKO DISH
1. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume iliyolegea hivyo kuufanya uume kusimama barabara wakati wa tendo la ndoa.
2. Inasaidia kushafisha mishipa ya kwenye uume na hi yo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa sumu kwenye mishipa ya uume.
3. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcetrate wakati wa tendo la ndoa.
4. Kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
5. Kuurudisha nje uume ulioingia ndani.
Utaratibu was kujiunga na kliniki ni kufika na kujiandikisha katika ofisi zetu za ubungo changanyikeni,gharama zetu ni nafuu ,kwa mawasiliano zaidi ni simu namba
0766538384
No comments:
Post a Comment