Siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita tare he 28 Februari mwaka huu,mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe alikagua jeshi la chama hicho maarufu kama RED BRIGADE na kisha vijana hao wakila kiapo mbele ya mwenyekiti wao.
Wewe kama mtanzania,unalichukuliaje swala hili la CHADEMA kuwa na jeshi lake binafsi? Toa maoni yako hapa.
Ukiona mwenzako ananyolewa nawe tia maji, wa kwanz kuwana jeshi private ni ccm xo wao ndo wangekuw wa kwanz kujadiliwa b4 chadema
ReplyDelete